Je Wafahamu kuwa kuna mimea vamizi ndani ya hifadhi?
Mimea Vamizi ya Kigeni au Invasive Alien Plant Species inaweza kuvamia katika uoto wa asili na kusababisha maradha mbalimbali kwa wanyama na mimea ya asili.Baadhi ya Mimea hii vamizi ni kama Chromoleana(Siam Weed),Opuntia(Prickly pear),Parthenium (Feverfew),na Tithonia (Mexican Sunflower).
Mimea hii inaingia hifadhini kwa njia mbalimbali ikiwemo kusambazwa mbegu na wanyama kwa njia yha kinyesi au kwa shughuli za kibinadamu kama ufugaji.
Udhibiti wa mimea hii ni wa kibaiolojia(Biolojical Control)
Pichani: Udhibiti wa mimea aina ya Opuntia katika Pori la Akiba la Ikorongo na Grumeti,Mkoani Mara.
No comments:
Post a Comment